TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Lil Wayne & Birdman Wana Maelewano Mazuri Right Now (VIDEO)

Hii ni Baada ya ugomvi wao wa muda mrefu bt right now wawili hao wana maelewano mazuri kila mmoja kutokana na video moja iliyochukuliwa siku ya jumapili March 11.

Moja kati ya jambo lililoshangaza sana mashabiki ni kuhusiana na wawili hao hawakuwa na mahusiano mazuri mwaka jana kutokana na Weezy alipompa kauli chafu jukwaani, na kauli yake pia ya kusema kwamba Baby sio mmoja kati ya wanafamilia wake.

But Few Days ago Baby alifanya Interview na kusema kwamba Mwaka huu lazma ataachia Carter V 


EmoticonEmoticon