Inasemekana beef kati ya Lil Wayne na Birdman limemalizika mara baada ya wawili hao hivi karibuni kuonekana wakiwa pamoja katika matukio mbali mbali.
Siku ya Leo March 26 Birdman katika account yake ya Instagram ameweka post ya picha yake na Lil Wayne na kuandika caption,"Me and my SON #YMCMBEAST"
Mahusiano ya Birdman na Lil Wayne yalianza kuonekana mazuri baada ya March 12 kuonekana katika Club moja pamoja wakikumbatiana
EmoticonEmoticon