Kituo cha kimataifa cha Black Entertainment Television ‘BET ‘ kimetoa pongezi kwa msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz baada ya album yake mpya ya ‘A Boy From Tandale’ kuingiza nyimbo tano zinazosikilizwa zaidi kwenye mtandao wa iTunes nchini Burkina Faso.
Kupitia account ya BET ya Twitter wammetoa pongezi hizo kwa kuandika,"Congratulations @diamondplatnumz for having the first 5 songs on the Burkina Faso iTunes Top Songs list #winning"
Congratulations @diamondplatnumz for having the first 5 songs on the Burkina Faso iTunes Top Songs list #winning pic.twitter.com/2q8D9iJQQh— BET International 🌎 (@BET_Intl) March 18, 2018
Album ya Diamond imetokea kuwa na matokeo ya mauzo mazuri ndani na nje ya Tanzania,ikiwemo
KENYA
NAMIBIA
MALAYSIA
OMAN
EmoticonEmoticon