TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Ifahamu Nyimbo Atakayofungulia Diamond Na Mwenza Wake Siku Ya Harusi Yake (AUDIO)

Baada ya kutangaza kuwa ndoa yake anaitarajia kuifunga mwaka huu,Right now kuna kubwa la kulijua kwa Diamond Platnumz cs inaonekana ni lazma afunge ndoa mwaka huu cs mpaka mziki ameshaupanga.

Kupitia account ya Instagram chibu ameandika wimbo ambao atafungulia mziki wakati wa Arusi yake yeye na mpenzi wake ambayo nyimbo hiyo ni Baila inayopatikana katika Album ya A  Boy From Tandale.


Chibu ameandika,"Nafkiri sasa Unaweza kuelewa kwanini #BAILA ft @miribenari ni Nyimbo yangu pendwa ndani ya #ABoyFromTandale Album🔥🔥🔥 Nyimbo ambayo nitayofungulia Mziki na Mwenza wangu siku ya Harusi yangu.....
i can not wait for the Video to be Out!! #ABFT #ABoyFromTandale Album link in my BIO"

Unaweza kuisikiliza na ku download Baila Ya Diamond Chini kabisa


 DOWNLOAD


EmoticonEmoticon