TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Drake Amefichua Jambo Jipya Baada Ya GOD'S Plan Kufanya Powa Billboard

Akiwa anaendelea kufanya powa na God's Plan katika week ya 8 kwenye chart za Billboard Hot 100 nafasi ya kwanza,Rapper Drake amefichua jambo jipya baada ya Ngoma hiyo.

Kupitia live session ya Instagram ya Producer Murda Beatz,Drake ameandika taarifa muhimu kwa mashabiki zake inayosema,New single dropping soon produced by Chef Murda,” 
Huo sio ujio wa kwanza wa Drake kwa kufanya na Producer Murda,kwani ameshafanya naye ngoma kama No Long Talk,” “Portland,” “No Shopping,” “Back on Road,” “With You,” na “No Frauds.”

Haijajulikana tarehe ya ngoma hiyo kutoka but amesema ni karibuni,Means kabla ya album yake ijayo ambayo alisema anaifanyia kazi na ni dedicated kwa Toronto.




EmoticonEmoticon