DJ Khaled has another one on the way.
March 2 kama alivyoahidi Dj Khaled siku ya February 26 kwamba Leo atatoa jina la Album yake mpya kwa mwaka 2018,ambapo ametimiza ahadi hiyo.
Kupitia account yake ya Tweeter ameweka video inayonyesha jina la ngoma inayoitwa “Top Off," aliyomshirikisha Future, Jay-Z na kuweka Herufi B ambapo watu wengi wame guess itakuwa inasimama badala ya Beyonce.
— DJ KHALED (@djkhaled) March 2, 2018Ngoma ya Top Off itakuwa available Siku ya Leo March 2,
Ambapo katika account ya Future ya Twitter ameandika,"TOP OFF!! U READY B' "
Album ya 11 Ya Dj Khaled inakwenda kwa Jina La "Father Of Asahd".ambapo Asahd ni jina la mwanaye.TOP OFF!! U READY B' 🦅— FUTURE/FREEBANDZ (@1future) March 2, 2018
EmoticonEmoticon