Msanii Davido Toka Nigeria amethibitisha album yake kwa mwaka 2018 imekwisha kamilika mpaka right now.
Davido ameshare taarifa hizo kwa mashabiki kupitia account yake ya Instagram na kuandika cpation inayosomeka,"But I gast yarn u NWA BABYYYYYYY!!!!! ALBUM READYYY FINALLY!!! WE LOCKED AND LOADED!!"
Keep In-touch with Mullastar soon Tracklist na Album Cover zikiland,utazipata hapa
EmoticonEmoticon