TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Sababu Za Young Thug Ku-Break Kwenye Music.LIVE AFUNGUKA (VIDEO)

Young Thug is taking a break from music.
Baada ya kumake Headlines za kubadili jina na kujiita Sex,Right now Headlines kubwa kuliko zimezagaa mitandaoni baada ya Rapper huyo kusimama katika muziki kwa mwaka 2018 kutokana na matatizo ya kutosikia au kuongea kwa kaka yake.

Kupitia Interview ya Hypebeast ambayo inahusiana na maswala ya Fashion Thug amefunguka na kusema kwamba ana Kaka yake ambaye ana tatizo la kusikia au kuongea na ndyo tatizo lililomfanya asitoe mziki wowote kwa mwaka 2018

"Nina kaka ambaye ana matatizo ya kusikia,Nina kaka ambaye hasikii au kuongea,so I wanna act deaf kwa mwaka so sitatoa ngoma yoyote kwa mwaka huu".Alisema Young Thug

But alifunguka kuhusiana na mwaka 2019 baada ya kukaa mwaka kimya na kusema,"2019 nitatoa Album yangu ya Hi Tunes,"


TAZAMA AKIFUNGUKA


EmoticonEmoticon