TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Diamond Platnumz Atoa Fursa Kwa Wenye Vipaji Vya Utangazaji.Atapita Mikoani Bt Ameanza Na Hapa

Fursa kwa wenye vipaji vya Utangazaji, cs soon Wasafi Tv pamoja na Wasafi fm itakuwa hewani, na wameamua kutangaza fursa kwa vijana walio na uwezo na vipaji vya kutangaza hata kama hauna elimu.

Hatua hii ni baada ya kutaka mashabiki wake wamwandikie comment kuhusiana na mkoa gani una vipaji vya utangazaji.Right now zoez hilo limeanza hara ambapo wameshapanga na mahali pa kuanzia na ni Zanzibar siku ya J4 tarehe 26.

Kupitia account yake ya Instagram Chibu ameandika,"Ndugu zangu wa ZANZIBAR!!! ningependa niwajuze kuwa JUMA NNE Hii ya Tareh 27/ 02 Team ya @wasafitv itakuwa pale NGOME KONGWE ZANZIBAR Kwenye Kuuanza Rasmi Mchakato wa Kuwatafuta Presenters ama Watangazaji wa @WasafiTv... Mchuano ambao Utakuwa Ukionyeshwa Ndani ya @WasafiTv.... Usiogope Kuhusu Elimu, jinsia, wala Umri... Muhimu Kujiamini.....Kumbuka #HiiNiYetuSoteWatag watu wote unaowaamini Kwenye Kutangaza ZANZIBAR!... pia Usisahau kuweka kwenye Dp Logo ya @wasafitv kwa Ishara ya Upendo🙏"

Uwezekano mkubwa wa Wasafi Tv kuwa hewani kabla ya j4 upo cs mtanange huo watauonyesha Live kama alivyosema, na mikoani pia atapita baada ya kumaliza Zanzibar so Changamkia Fursa kama unacho kipaji.


EmoticonEmoticon