TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Album Ya Justin Timberlake Namba 1 Billboard Ndani Ya Week Hii.Full Top 10 Albums

Man on the Woods ya Justin Timbarlake imefanikiwa kufikia mauzo ya copy
 293,000 kwa week ya kwanza na kuiwezesha album hiyo kukamata nafasi ya kwanza katika chart za Billboard 200 kwa week hii.

Migos na Culture 2 wamedumu kwa hizo chart kwa muda wa week 1 bt this last week wamefanikiwa kuuza copy 88,000 na album hiyo imeendelea kukaa katika top 10 bt imekamata nafasi ya 2.

Full Top 10 List na Copy Za Mauzo 
1. Justin Timberlake – Man of the Woods – 293,000
2. Migos – Culture II – 88,000
3. Various – The Greatest Showman – 81,000
4. Ed Sheeran – ÷ – 40,000
5. Bruno Mars – 24K Magic – 35,000
6. Post Malone – Stoney – 33,000
7. Kendrick Lamar – DAMN. – 32,000
8. Camila Cabello – Camila – 31,000
9. Lil Uzi Vert – Luv Is Rage 2 – 25,000
10. Various – Now 65 – 25,000


EmoticonEmoticon