Msanii Toka Nigeria Patoranking anayefanya miandoko ya DanceHall amefunguka via Hip Tv kuhusiana na wasanii wengi kuiga sound yake especial sound ya ‘CQOM.’
Sound hiyo aliyoitumia pia katika ngoma yake mpya ya Available imekuwa na ushawishi sana hasa kwa Miziki ya South Africa .
Katika video patoranking anasema,"Patoranking meaning Different na nimeamua kufanya kitu tofauti na ninafuraha kwa kuwa nimekubalika na naendelea kuona nyimbo inafanya powa na pia naona the way hii sound inavyofanya powa in this country,Huu ni mwaka 2018 na ninasikia miziki mingi tayari ina sound hivi kwa wasanii tofauti,So Watch Out for This Sound 'CQOM' SOUND"
Watch Video Below.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
EmoticonEmoticon