2 Chainz and Lil Wayne are at it again.
Baada ya Lil Wayne na 2 Chainz kufanya powa katika Album ya CoolleGrove ambayo ilikuwa inapatikana ngoma kali kama Gotta Lotta mwaka 2016,Roght now kuna Headlines zao kutuletea project nyingine sokoni.
2 Chainz katika account yake ya Instagram ameandika,"ME AND MY BROTHA GOTTA ANOTHER 1 ON THE WAY πͺπΏπͺπΏπͺπΏπ₯π₯π₯ππΏππΏππΏπππ#SHIRTBYDONATELLA"Kwenye post yenye picha yake pamoja na Weezy
EmoticonEmoticon