TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Zawadi Ya Dola $315,000 Ya Cardi B Kwa Mpenzi Wake Offset Katika Birthday Amefunguka Ametoa Wap Huo Mkwanja(PICHA & VIDEO)

Cardi B is making more money moves

December 15 ilikuwa na Birthday ya Offset wa kundi la Migos ya kufikisha miaka 26 na mpenzi wake Cardi B hakupenda ipite hivyohvyo bila zawadi yoyote kwa mnyamwezi huyo

Headlines right now zinasema kwamba mwanadada huyo amemzawadia mnyamwezi huyo Gari aina ya Rolls Royce yenye Thamani ya Dola $315,000 ambayo kwa pesa za kibongo ni Million 707,663,250.



Cardi B alifunguka kuhusiana na Pesa alipoitoa akanunua gari hilo alisema,"I bought it with my money, ni**a.

Baadhi ya wasanii waliohudhuria Bday ya Offset ni Quavo, TakeOff, Big Sean,  Swae Lee, Lil Yachty, G-Eazy, na Ashanti 




Wayback OffSet alimvisha Cardi B pete yenye Thamani ya dola za kimarekani $ 550,000 ambazo kwa Paper za kibongo we talkin' about Billion 1,236,675,000 Righ Now Cardi B amespend Dola $315,000 ambayo kwa pesa za kibongo ni Million 707,663,250.


EmoticonEmoticon