TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Record Mpya Ya Cardi B, Ngoma Mpya Na 21 Savage Soon

Female Rapper Cardi B ameweka rekodi nyingine kwenye chati za Billboard kupita wimbo wa Migos wa MotorSport Ft Nicki Minaj na Cardi B


Wimbo huu wa Migos umeruka kutoka namba 15 mpaka 6 kwenye Billboard Hot 100 na kufanya Cardi kuwa msanii wa kwanza wa rap wa kike kuwa na nyimbo tatu za kwanza zenye jina lake kuwa kwenye Top Ten ya chati za Billboard.


Cardi B pia ameingia kwenye orodha ya wasanii 6 wa kike wa Rap/HipHop waliowahi kuwa na nyimbo tatu au zaidi zilizoweza kupenya kwenye TopTen ya chati za Billboard, Nicki Minaj (15), Missy Elliott (9), Eve na Lil’ Kim (4) na Iggy Azalea (3)
Stay Tune cs Cardi B pamoja na 21 Savage wamepanga kuileta ngoma yao ya Bartier Bardi ambayo itakuwa out siku ya Ijumaa 22 December.

Cardi Ameandika,"My single Bartier Bardi ft @21savage drop this Friday Dec 22 #BartierBardi"


EmoticonEmoticon