It’s all about that SremmLife in 2018.
Kundi la Rae Sremmurd wameitangaza Project yao ya Sremm Life 3 ifikapo Januray 2018Kupitia mtandao wa kijamii Swae Lee alifunguka kuhusiana na Project hiyo na kusema,"SremmLife 3 coming in January,The hottest music on the fu**king planet.”
Swae Lee announces SremmLife 3 will be coming in January pic.twitter.com/zkiwUhnZvA— MOBOOMBOX (@MOBOOMBOX) December 18, 2017
EmoticonEmoticon