Mcheza filamu maarufu kwa jina la The Rock ambaye pia ametoka kuigiza katika The Fate Of Furious 8,amefunguka via Interview na Ellen Degeneres kuhusiana na Swala lake la kuwa na nia ya kugombea uraisi.
Dwayne alipoulizwa na Ellen kwamba yupo serious katika hilo swala alisema,"Im Serious Considering,Yes"
EmoticonEmoticon