TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Mr P Wa Psquare Asema Hatorudi Kulijenga Group La P Square Kama Hapo Awali

Baada ya kutokuwa na maelewano baina ya mapacha wanaoliunda kundi la P Square na kuvunjika siku za nyuma,Right now kuna Headlines za Mr P kufunguka kuhusiana na kutorudi katika kundi hilo tena kama hapo awali.

Mr P amefunguka katika Interview aliyokuwa anafanyiwa na kituo cha redio cha Rhythm 93.7 na kusema kwamba yeye hawezi kuchanganya familia na biashara tena,na hajafikiria kurudi kwa kaka yake Paul ili kuliunda group la P Square kama hapo awali ilivyokuwa.

STORY KWA NJIA YA PICHA NA SAUTI


EmoticonEmoticon