TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Hauwezi Amini Drake Naye Atoa Tamko Hili Kwa Rapper Mwenzake Meek Mill (VIDEO)

Baada ya Rapper Meek Mill kupata kifungo cha miaka 2 hadi 4 na baadhi ya marapper wenzake kumpa moyo huku kesi yake ikiendelea kushughulikiwa na matumaini ya Meek Mill kutoka jela ikiwa inasubiriwa uwezekano,Right now Drake amezungumza

Drake ni mmoja kati ya adui wa Meek Mill bt Meek alisema kunahitaji muda wao kuwa wawili kwa maongezi ili wamalize tofauti zao bt Drake right now katika Headlines akiwa katika Tour yake ya kiduni ya Boy Meets siku ya Jumapili aliamua kusimamisha shoo na kusema,"Free Meek Mill I see you got the Free Meek Mill’ t-shirt. Free Meek Mill too man, for real. You right."

Related Posts


EmoticonEmoticon

:)
:(
=(
^_^
:D
=D
=)D
|o|
@@,
;)
:-bd
:-d
:p
:ng
:lv