TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Forbes Wametoa List Ya Wanamuziki Wa Kike Wanaoingiza Mkwanja Mrefu Top 10(FORBES’ HIGHEST-PAID WOMEN IN MUSIC TOP 10)

Jarida maarufu duniani la Biashara Forbes wametoa list ya wanamuziki wa kike wanaoingiza mkwanja mferu katika game ya music na katika Deals nyingine walizo sign zinazowaingizia mkwanja

Beyonce amefanikiwa kukamata nafasi ya kwanza akiingiza kiasi cha Dola $105 Million ikiwa inachangiwa na mauzo ya Album yake ya Lemonade pamoja na Tour yake ya Formation ambayo ilimwingizia mkwanja mrefu.
Adele amefanikiwa kukamata nafasi ya pili  kwa kuingiza kiasi cha Dola $69 Million  kwa mauzo mazuri ya Album yake ya 25 pamoja na Tour yake.
Taylor Swift amekamata nafasi ya 3 kwa kuingiza kiasi cha Dola $ 44Million akiwa anaishukuru Album yake ya Reputation mpya iliyofanya vizuri sokoni kwa muda mfupi  na imesemekana angekuwa ameshafanya Tour kungekuwa na uwezekano wa kukamata nafasi ya 1

TAZAMA FULL TOP 10 HAPO CHINI
1. Beyoncé – $105 million
2. Adele – $69 million
3. Taylor Swift – $44 million
4. Celine Dion – $42 million
5. Jennifer Lopez – $38 million
6. Dolly Parton – $37 million
7. Rihanna – $36 million
8. Britney Spears – $34 million
9. Katy Perry – $33 million
10. Barbra Streisand – $30 million

Related Posts


EmoticonEmoticon

:)
:(
=(
^_^
:D
=D
=)D
|o|
@@,
;)
:-bd
:-d
:p
:ng
:lv