TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Eminem Amefunguka Maswali 3 Muhimu Ya Kuyajua Katika Interview,Kuhusiana Na Beyonce...(VIDEO)

Hit Maker wa Walk On Water amefunguka via Shade 45 mambo 3 muhimu ya kuyajua ikiwemo alivyopata nafasi ya kufanya kazi na Beyonce, Cypher ya BET Freestyle na Hip Hop Right now anaionaje kwa upande wake.

Kuhusiana na kufanya kazi na Beyonce kwenye ngoma moja ya Walk On Water alisema,
"Kabla ya Yote Beyonce ni Amazing na alikuwa katika list zangu za watu nliotamani kufanya nao kazi na sikuwa na idea ya ngoma yoyote nitakayofanya naye bt mimi na Paul tuliandaa Idea na mishowe tukaona kama inaendana naye.Kwasababu Beyonce kila kitu anachokifanya ni Perfect na nlimwambia Beyonce kwamba Sijawahi kukuona unafanya makosa,kamwe,Unafanya Perfomance vizuri,kila ngoma unayotoa,Album it’s so calculated and precise, Everything’s always so perfect.

SIKILIZA AUDIO HAPA


Lingine alilofunguka ni kuhusiana na Freestyle iliyobreak Internet kwenye Cypher ya BET kwa kumchana Donald Trump,Alijibu na kusema,
"Nilikuwa nina hasira na I can’t stand that motherfucker,na nlijisikia kama hayupo Attention na mimi na nlikuwa nasubiria aseme chochote hata kwa kuandika kwenye Twitter bt kwasababu maalumu,hakusema chochote"

SIKILIZA AUDIO HAPA

Kuhusiana na Muziki wa Hip Hop unavyokwenda Right Now Eminem alifunguka pia kuhusiana na Hilo na kusema kwamba,
certainly appreciate it, stay up on everything that’s out.

SIKILIZA AUDIO HAPA


EmoticonEmoticon