Baada ya zile taarifa za Album ya Eminem itadondoka Before This Year zilizotolewa na Hits Daily Double,Right now kuna Headlines kuwa zilizotoka kwa Producer Dr Dre kwamba Album hiyo itadondoka Soon.
Kupitia account ya Dre ya Twitte ameweka video inayosema kwamba,"Revival Ni Album ya Eminem na itatoka December 15".
STORY KWA NJIA PICHA NA SAUTI
EmoticonEmoticon