TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Diamond Platnumz,Wizkid & Tekno Something On The Way (VIDEO)

Baada ya msanii Diamond Platnumz kufanya collabo na Rick Ross pamoja na Omarion,Right now kuna headlines ameonekana na hitmaker wawili waliofanya single mpya ya Mama , Tekno pamoja na Wizkid

Kupitia mtandao wa kijamii wa Diamond Platnumz ameweka video yao akiwa na wawili hao ndani ya gari aina ya Rolls Royce na kuandika caption,"YOUNG BWAYZ DISTURBIN BIG CITY!!! 🔥"na kuweka alama ya moto kuonyesha kwamba something new cookin on the way.

Wameonekana Club moja huko Dubai wakikinukisha.Unaweza kuitazama video hapo chini.
Diamond Platnumz anategemea kuja na Album yake pamoja na ngoma yao pamoja na Rick Ross ambapo kuna uwezekano wa ku land sokoni December 1


EmoticonEmoticon