TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Chris Brown Avunja Record Na Album Yake Kwa Week Ya 1

Breezy turns Heartbreak into gold.

Album ya Chris Brown Heartbreak On Full Moon imefanikiwa kufikia mauzo ya Gold(500,000) ikiwa ni Week ya kwanza baada ya kutoka na hii ni kwa mujibu wa Record Industry Association Of America (RIAA).

Album ilitoka Nov 8 ikiwa imecontain ngoma 45 na kufanikiwa kushika nafasi ya tatu 3 katika chart kubwa za Billboard 200 na kwa mujibu wa taarifa zilizopo kwa mauzo ya Album hiyo inaweza ikaendelea kukamata nafasi hiyo hiyo kwa week inayofwata au kupanda juu.

Alich0kiweka katika account yake ya Tweeter Breezy  ni Love na Blessing kwa mashabiki waliowezesha Album kufika hapo & kushukuru Mungu.
Ngoma tatu zinazofanya vizuri katika chart za Billboard HOT 100 ni Pills and AutomobilesQuestions & High End.   


EmoticonEmoticon