TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Beyonce Ameconfirm Kufanya Collabo Na Wizkid

Headlines right now ni kwamba msanii Wizkid toka Nigeria nyota yake imeendelea kung'aa baada ya jina lake kuonekana katika Tracklist ya Ep ya mwanadada Queen B.

Taarifa zilizopo zinasema kwamba taarifa hizo zimevuja ambazo zinaonyesha Cover Art ya Ep hiyo na Tracklist hizo.
Jina la Ep hiyo kwenye ngoma aliyoshirikishwa Wizkid ni "Yonce Riddim" ambayo pia imeshirikisha vichwa vingine kama Nicki Minaj, Rihanna, na mume wake ambaye ni Jay-Z.


EmoticonEmoticon