TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Album Ya Yemi Alade Tracklist Na Tarehe Kamili Ya Kutoka Ipo Hapa

Yemi Alade ameachia tracklist na jina la Album yake ijayo na tarehe kamili ya kutoka.

Album mpya ya Yemi Alade itaitwa Black Magic ambayo ime contain ngoma 14 na Bonus ya 15 na unaweza ku pre-order kupitia ITUNE right now
Ngoma ambazo zipo out na zinapatikana kwenye Black Magic Album ni Single & Searching , Heart Robber na Knack Am



EmoticonEmoticon