TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Diamond Platnumz Washoot Video Mpya Na Rick Ross (VIDEO)

Kwa mujibu wa post ya International Meneja wa Diamond Platnumz, Sallam anasema Msanii wake Diamond Platnumz alikuwa kwenye hii location mjini Miami akifanya video na rapa Rick Ross ambao wote ni mabalozi wa kinywaji cha Belaire ndio maana wanajiita #BlackBottleBoys

TAZAMA VIDEO


EmoticonEmoticon