TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Diamond Platnumz Amevunja Record Ya Africa Kwa Kuwa Mwanamuzi Wa Kwanza Ku........

CONGRATULATION DIAMOND PLATNUMZ

Msanii Diamond Platnumz anayefanya powa na ngoma yake ya Hallelujah ameweza kuvunja record kubwa ya nyimbo yake ya Marry You akiwa na Neyo Kufikia mauzo ya Platinum mara sita mfululizo katika Label yake ya Universal Music Group.

Kupitia account ya Diamond Platnumz amefurahia good News hiyo kwa kuandika,"Leo nimekuwa msanii wa kwanza wa kiafrika alosainiwa Universal Music Group kufikisha Mauzo ya nyimbo yake Platinum Mara sita Mfululizo kupitia nyimbo ya #MarryYou nilomshirikisha @Neyo.... kwa niaba ya Team yangu na @neyo tungependa kuwashukuru Mashabiki na Media zote Ulimwenguni...🙏)" 


EmoticonEmoticon