TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Cardi B Afunguka Mambo 3 Muhimu Kuhusu Album,Female Rapper Anatamani Kufanya nao Kazi Na Alipokutana Na Beyonce (VIDEO)

Cardi B anaendelea kufanya powa na Ngoma yake ya Bodak Yellow ambayo kwa Week hii imefanikiwa kuongeza mafanikio kwa kusogea mpaka nafasi ya 2 kwenye chart kubwa za muziki za Billboard Hot 100.

Female Rapper Cardi B amefunguka kuhusiana na mambo 3 muhimu ya kuyajua kuhusiana na Female Rappers anaowakubali,Alipokutana na Beyonce week kama 1 iliyopita na Kuhusiana na kudondosha Album.

1:Kuhusiana Na Female Rappers ambao anataka kufanya nao kazi?
Cardi B alijibu "All Of Them, I love Lil’ Kim, I love Trina, I like Remy Ma, I love Nicki,nawapenda wote"

2:Msanii Anayempenda na Aliyemshangaza?
Cardi B alijibu, "Nilishangaa sana Beyonce kunipenda mimi,Ah! I met Beyoncé!
3:Kuhusiana Na Album Yake Mpya Ijayo?
Cardi B alijibu, "Ninayo Album inakuja October na nadhani itafanya powa ,ndyo kitu kinachonipa presha,nadhani watu wengi wanasubiri ni kitu gani kitakuja na nina imani watafurahia ujio huo,Nina jiamini na nipo vizuri"

TAZAMA INTERVIEW


EmoticonEmoticon