TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Alichokiandika Diamond Platnumz Baada Ya Hallelujah Kufikisha Views 1 Million Ndani Ya Masaa 15

Msanii Diamond Platnumz amefanikiwa kufikisha Views Million 1 baada ya masaa 15 ya kwanza kuiachia video yake na Morgan Heritage ambayo inaitwa Hallelujah.

Moja kati ya ngoma iliyovunja record Tanzania cs hakuna ngoma iliyowahi kufikia record hiyo toka imetoka Ever.

Alichokiandika Diamond katika Account yake ya Instagram,"Lord have Mercy! I can't even Explain how grateful i am...1 Million Youtube Views within 15 hours.....Thank you so much for this Love and Support.... Let's take our African Music to the World....🙏
(Nawashkuru sana kwa Upendo, Sapoti na kuendelea kupokea kidogo changu niwapacho... Nawashkuru sana, Niwashkuru pia kwa kuifanya #Hallelujah kuwa imetizamwa mara Milioni 1 ndani ya Masaa 15....Tuendelee kushikana na kuupeleka Mziki wetu Duniani zaidi....🙏) Full Video link in my BIO☝ "

TAZAMA VIDEO HAPA


EmoticonEmoticon