TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Wajue Wasanii Watakao Perform Katika Tuzo Za MTV VIDEO MUSIC AWARDS 2017

Mtv VMAS ambayo ita happen pale L.A tarehe 27 August mwaka huu,Right now inakupasa ujue baadhi ya wasanii watakaochukua nafasi ya ku perform katika jukwaa la MTV.

Baadhi ya wasanii wakuwajua ambao watafanya yao pale kwenye stage tarehe hiyo ni,The Weeknd,Fifth Harmony,Miley Cyrus,Ed Sheraan Lorde na Shwan Mendes.

For Updates kuhusiana na wengine watakao perfome stay Tune cs hao ni baadhi tu.  


EmoticonEmoticon