TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Drake Atangaza Ujio Wa Album Mpya

Baada ya More Life kufanya powa,Drake anategemea kuleta mzigo mwingine sokoni!!!!

Akiwa kwenye kumaliza shoo ya Ovo Fest siku ya Jumatatu Aug7 kabla ya kudondosha mike,Drake alisema,"Nitarudi Toronto kufanya Album kwaajili yenu"

Stay Tune na Tazama akiwa anawaambia mashabiki hapo chini.


EmoticonEmoticon