TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Yemi Alade Amekuwa Mwanamuziki Wa 1 Wa Kike Kuvunja Record Hii Hapa Africa

Yemi Alade toka Nigeria anayetamba na video yake ya Charliee amekuwa mwanadada wa kwanza kuvunja record katika mtandao wa YouTube

Kupitia video yake iliyoshootiwa na Clarence Peter inayojulikana kwa jina la Jonny imefanikiwa kufikisha views zaidi ya Million 70 katika mtandao wa YouTube toka ilipoachiwa March 2014


EmoticonEmoticon