TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Safaree Ayaandika Haya Kwa Nicki Minaj

Ex wa Nicki Minaj, Safaree anayefanya powa na video yake ambayo ipo out now inayoitwa Talkin About ametumia mtandao wake wa Twitter kueleza hisia zake kwa mwanadada Nicki minaj katika kipindi cha nyuma.

Kupitia account yake ya Twitter aliandika,I really want a kid,nicki you were suppose to have my child.. I can’t believe this is life.”(Ukweli ninataka mtoto,Nicki ulitakiwa uwe na mtoto wangu..Siamini kama haya ni maisha)
TAZAMA VIDEO MPYA YA SAFAREE HAPO CHINI.


EmoticonEmoticon