Baada ya ku cancel Tour yake ya tarehe kama 14 zilizobaki siku ya Jana July 24,Right now Justin amefunguka kuhusiana na sababu zilizomfanya mpaka ame cancel tour hiyo.
Kwa mujibu wa TMZ Bieber amesema kwamba kila kitu kipo sawa na amekuwa kwenye Tour kwa muda mrefu kama miaka 2 na anataka ku have some funny kwa kupumzika na ku ride some bikes.
Kuhusiana na neno kwa mashabiki alifunguka na kusema kuwa,"Nawapenda sana na nadhani mpo sawa,Samahani kwa yeyote anayefikiria nime disappoint au kumgeuka,sio ndani ya moyo wangu wala vinginevyo,muwe na siku njema".
TAZAMA VIDEO HAPO CHINI
@justinbieber Says 'Everything's Fine,' Apologizes to Fans After Canceling Purpose Tour pic.twitter.com/1z1eSNYR87— Mulla Star (@mullastar255) July 25, 2017
EmoticonEmoticon