TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

French Montana Kwa Mara Ya Kwanza Kukamata Nafasi Hii Billboard Kwa Wimbo Huu Hapa

Msanii French Montana amekula mashavu katika upande wa Billboard ikiwa ni kwa mara yake ya kwanza kubambisha chart hizo kwa ngoma yake.

French Montana amefanikiwa kukamata nafasi ya 10 katika chart kubwa za Billboard Hot 100 kwa ngoma yake ya Unforgettable ambayo amemshirikisha Swae Lee.

TAZAMA VIDEO YAKE HAPO CHINI


EmoticonEmoticon