TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Dj Khaled Ngoma Nyingine Toka Grateful Kufikia Mauzo Ya Platinum

Ngoma nyingine toka kwenye Album ya Dj Khaled imefanikiwa kufikisha mauzo ya Platinum copy 1 Million toka itoke.

Ngoma ya Wild Thoughts aliyoshirikishwa Rihanna pamoja na Bryson Tiller imefanikiwa kufikia mauzo hayo kupitia The Record Industry Association Of America(RIAA).

Alichokiandika Dj Khaled baada ya ushindi huo ni,"#WILDTHOUGHTS #DJKHALEDFEAT @badgalriri @brysontiller OFFICIALLY PLATINUM! FAN LUV THANK YOU SO MUCH ! #GRATEFUL AVAILABLE EVERYWHERE NOW .. BLESS UP πŸ™πŸ½πŸ”‘πŸŒΊπŸ¦πŸŒ΄πŸ™πŸ½ @wethebestmusic @rocnation@epicrecords prod by #DJKHALED bless up @partynextdoor for putting your blessings on there wit me ✊🏽"


EmoticonEmoticon