TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Diamond Platnumz Awatolea Povu.."..vichupi kunuka.."

Kupitia mtandao wake wa Instagram,Diamond Platnumz amewatolea Povu kwa wale wote wanamsema kipenzi chake Zari kwa maneno ya ajabu na walio na wivu.

Chibu ameandika,"Kuna vichupi kunuka wanajifanya wanajua sana uchungu wa Misiba ya watu.... Mtoto wa watu katoka katika matatizo mfululizo, anatakiwa apelekwe sehem tulivu apetiwepetiwe adekezwe apate faraja!...sasa kama nyie hamna mabwana wa kuwafanyia hayo, Msijifanye ni Tamaduni na kulazimisha kila mtu awe kama nyie, eti kutwa nzima ajifungie chumbani kulia... Pambaneni na Mahusiano yenu...! Nina siku 5 za kumpetipeti... leo ndio kwanza Ya kwanza 😛"


EmoticonEmoticon