TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Beyonce Kuja Na Documentary Yake.Inahusu Nini,Stars Watakaoonekana Ndani?Soma Hapa

Kaa mkao wa kula kwani Beyonce ni mmoja kati ya mastaa wanaotarajiwa kuja na Documentary yake inayohusiana na maisha yake kwa muda wa miaka miwili kama walivyofanya baadhi ya wasanii akiwemo Diddy,Chris Brown na wengineo.

Kupitia Vibe wameripoti kwamba Queen Bey ameaongelea kuhusiana na kuja na Documentary yake itakayohusu maisha yake, tour yake ya Formation,Kipindi alichokuwa na ujauzito, matengenezo ya album yake ya Lemonade na mengine. 

Taarifa hizo tayari zimesha be confirmed by HBO & NETFLIX na baadhi ya mastaa watakao kuwemo katika hiyo Documentary ni pamoja na Jay-Z,Kendrick Lamar,Serena Williams na wengineo bt itakuwa ikionyesha maisha ya Beyonce kwa kipindi cha muda wa miaka 2 iliyopita.

Full Documentary itakuwa Exclusive Via Tidal.

Tazama Tangazo Kamili.


EmoticonEmoticon