TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Beyonce Ameonyesha Picha Za Watoto Wake & Jay-Z Mapacha.Alichokiandika Pia Kipo hapa

Kwa mara ya kwanza toka June 13 watoto wa Jay-z & Beyonce ambao ni mapacha Sir na Rumi Carter hatimaye wameonekana siku ya Leo kwenye mtandao na mashabiki wamefurahia kumuona Beyonce akiwa katika hali nzuri na mapacha hao.

Kupitia ukurasa wa Instagram,Beyonce ameweka picha ya watoto wake mapacha ambayo ilikuwa na caption inayosomeka,"Sir Carter and Rumi 1 month today."


EmoticonEmoticon