TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Meek Mill Afunguka Kuhusiana na Album,Baada Ya Kumaliza Album,Neno kwa Shabiki na Mengine Mengi

Rapper Meek Mill Toka MMG amefnguka mengi wakati alipikuwa akifanyiwa mahojiano na kituo cha Radio cha Real 92 kilichopo Los Angelous (LA) na Dj A-OH.

Meek Alifunguka baaddhi ya mambo mengi bt Nimekuletea maswalii ma nne muhimu unayotakiwa kuyajua kupitia mahojiano hayo na alifunguka live.

1:Kuhusiana na Album Yake Ijayo?
Meek Alijibu,”Nina Album inakuja na inaitwa Win & Loses na nimeonglea mambo mengi,na mpaka wakati huu imekwishakamilika.”

2:Baada ya kumaliza Album Hii Kitu ambacho atakifanya?
Meek Alijibu,”Nitarudi studio na kuendeleza mbanga za game kama kawaida bt sitatumia muda mwingi sana studio bt nitatoka na ku have some fun sometimes

3:Unahisi kwanini watu wanasema Ww umeisha,mean muda wako umeisha, hauna lolote sahv?
Meek Alijibu, “Me ni kama my weather ambaye ameshashinda mapambano kama 50 na vp kama akipoteza moja kwanini uhisi kama atakuwa chini?Hiki ni kitu nlichokifanya kwa muda mrefu na ukifanya kazi kwa bidii,watu watakupenda sana na kuna watu wanapenda kukuona umefika mbali na ndyo kitu kinachonifanya bado nipo kwenye game.”

4:Kitu gani anamshauri shabiki yake ambaye kwa sasa anamwangalia yeye?
Meek Amejibu, “Shikilia kile unachokifanya na hakikisha unajiamini kwasababu ndyo kitu ambacho mimi nlikuwa nakifanya mpaka kufikia hapa,Nlivyokuwa mdogo nlikuwa naangalia magazeti na nnasema nataka kuwa mbele ya gazeti hili na nlikuwa najiamini,kama usipojiamini bas u won’t make it”.

TAZAMA FULL INTERVIEW HAPA


EmoticonEmoticon