TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Migos & Lil Yachty Wamewataja Ma Favourate Rappers Wao Wa Wakati Wote (Video)

Ni kwa kawaida kila msanii huwa anakubali kile kinachofanywa na wenzake mpaka kufikia kumtaja kuwa anakubali harakati za Rapper au msanii mwenzake.

Last Week wakati 2 Chainz ana reveal tarehe ya Album yake,Drake alisema kuwa 2 Chainz ni mmoja kati ya ma Rapper anaowakubali kwa wakati wote.

But Time hii ni kwao Migos pamoja na Lil Yachty wamefunguka ma favorite rappers wao wa wakati wote 

Take Off wa kundi la Migos alisema kuwa anamkubali Kendrick bt Quavo alisema kwamba anamkubali Jay Z kuwa ndyo Rapper mkubwa kwa wakati huu bt Yachty alisema anamkubali Kendrick bt alikuwa amevaa T-Shirt ya Jay Z

Tazama Video hapo chini


EmoticonEmoticon