Kama wewe ni mpenzi wa muziki na unakuwaga Busy katika Week na hauna muda wa kufwatilia ngoma gani kali na Album gani imetoka.Ntakuwa nakupatia ngoma zilizotoka katika Week nzima na kufanya powa kupitia Vevo pamoja na Album zilizoingia sokoni
Leo katika Hot This Week ametuandalia John Legend ambaye pia anayo video yake na imefanya powa katika Hot This Week.
Chukua muda wa Dk 3 kuzitazama video hapo chini zilizofanya powa pamoja na Album zilizoingia sokoni ndani ya Week hii May 26
EmoticonEmoticon