Baada ya zile tetesi kwamba msanii D Banj amepata mtoto na mkewe Didid,Hatimaye taarifa hizo zimeonekana ni za kweli baada ya msanii huyo ku confirm kupitia ukurasa wake wa Instagram.
D Banj katika ukurasa wake wa Instagram ame share picha ikiwa na caption,"#KingDonCome 😇😇😇. The Christening of @danieldthird"
Mwanaye huyo ameshamfungulia page kupitia Instagram ambayo ina jina la Danieldthird na imeonyeshwa amefollow mtu mmoja tu ambaye ni baba yake
EmoticonEmoticon