Baada ya kuachia Chain To The Rhythm,now ni muda wa mwanadada huyo kuwashirikisha ma rapper wa Bad and Boujee aka Migos katika ngoma yake Mpya inayoitwa Bon Appetit.
Mzigo huo unategemewa kutoka April 28 kesho na utakuwa Premier kupitia Hapa.
So Stay Tune & Enjoy
EmoticonEmoticon