Ni muda mrefu toka mwanadada Kim Kardashian kuvamiwa na majambazi na kuporwa baadhi ya mali zake za thamani bt nyuma pia kukiwa na kauli za yeye kutokuelewana na Kanye West ambaye ni Mume wake.But Kim ameweza kufunguka mambo mengi sana wakati alipokuwa akifanyiwa mahojiano na Hellen katika kipindi chake cha Ellen DeGeneres Show.
Wakati akiwa anaelezea jinsi alivyoibiwa ilitokea mpaka anataka kulia kwa jins akikumbuka yale yaliyomtokea na kusema kwamba yeye ni mtu wa tofauti sana,na kuendelea kusema kwamba hahitaji kulia na kusema kwamba imebidi kumtokea yeye na pia mambo yanatokea kwa mtu kamafundisho
Pia aliweza kuongelea jinsi alivyovamiwa na majambazi kipindi cha nyuma na kuibiwa vitu vya thamani
Anasema wakati majambazi wanaingia alikuwa anakaribia kulala bt akaamka baada ya kusikia watu wanatembea kwenye ngazi na alidhani ni dada yake na rafiki zake waliolewa wanarudi nyumbani.na anasema kuna rafki yake aliyekuwa chini akisikia kinachoendelea lakini hakujua ni kitu gan na alimpigia dada yake na mlinzi wake pia
Pia ameendelea kwa kusema kuwa walikuwa na silaha na waliingia ndani na hakuweza kueleza kuwa hauwezi zisimulia hizo hisia jinsi gani mtu angejisikia na nlijua ni kwaajili yangu na nlijua pia ntakufa.
Bt ilitokea kwa haraka sana kama dk 7 za kunipa mateso. Ameongelea mambo mengi pia na ikiwemo yeye na familia yake na Kanye west pia wanaendeleaje.
TAZAMA INTERVIEW YA KWANZA Bt ilitokea kwa haraka sana kama dk 7 za kunipa mateso. Ameongelea mambo mengi pia na ikiwemo yeye na familia yake na Kanye west pia wanaendeleaje.
TAZAMA INTERVIEW YA 2 HAPA
EmoticonEmoticon