TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

AUDIO | Wizkid Ft Slimcase - Gucci Snake (Official Audio)

Listen/Download Gucci Snake By Wizkid Featuring Slimcase Mp3


Nyimbo mpya Gucci Snake toka kwa Wizkid from Nigeria akiwa amemshirikisha Slimcase.Stay Tune kwa album ya 4 ya Wizkid,"Made In Lagos"ambayo inategemewa kuingia sokoni soon.Gucci Snake imefanywa na ma producer 2 akiwemo Northboi na Killer Tunes.Isikilize na ku download hapo chini.Enjoy


EmoticonEmoticon