TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

VIDEO | Nandy - Aibu (Official Video)

Watch/Download Aibu Video By Nandy 


Aibu Video toka kwa Nandy ipo hapa na Good News ni kwamba nyimbo hiyo itakuwa ndani ya Album yake mpya ya mwaka huu ambayo inategemewa kuingia sokoni November 9,akiwa ameipa jina la The African Princess.Mullastar itafanya taratibu za kumpata Nandy endapo album ikitoka ipaitikane hapa.Itazame video hapo chini na kama ulikosa audio unaweza pia ukaipata hapo chini.Enjoy 






DOWNLOAD VIDEO|MP4

DOWNLOAD AUDIO|MP3


EmoticonEmoticon