VIDEO | Maroon 5 - Girls Like You ft. Cardi B (Version 2)
Girls Like You ikiwa inafanya vizuri duniani kwa kuongozwa kupendwa na kusikilizwa na pia mauzo yake kufanya vizuri mpaka kupelekea wimbo huu kukamata nafasi ya 1 Billboard Hot 100 kwa week ya 5 mfululizo mpaka wakati huu,Maroon 5 ameamua kuileta version ya 2 ya video hiyo.Itazame hapo chini kujua tofauti ya video ya kwanza na ya pili.Enjoy
EmoticonEmoticon