Watch Wake Up In The Sky Video By Gucci Mane, Bruno Mars & Kodak Black
Wake Up in The Sky inategemewa kuwa moja kati ya nyimbo zitakazopatikana kwenye Album mpya ya Gucci Mane 'Evil Genius" ambayo itatoka kabla ya mwaka huu kuisha.Itazame video hapo chini
EmoticonEmoticon