LYRICS (MASHAIRI)
Intro:
Yeeeyee nooo noo
Slogan:
Nahreel on the beat
Chorus :
Katika katikaaeee katika katikaaeee katika katikaaeee
Yeeeyee nooo noo
Slogan:
Nahreel on the beat
Chorus :
Katika katikaaeee katika katikaaeee katika katikaaeee
Verse 1-(NAHREEL)
Nina midadi kayalumba(weee) kibao kata ukinyonga(ooonaaa), mfukoni namavumba (weee) rungu ndichi linasunta eeeeh, Yani bo bo bo o o kana nikoshaga roh o o o yani nasimama dee de de de kakitingisha wowo wo wo o Baby gal dance for me one time (Secretoo)Miuno feni kunata (Secretoo)Tena jifunge na ngata (Secretoo)Zile za kibaooo kataa (Secretoo)Baby gal dance for me one time (Secretoo)Miuno feni kunata (Secretoo)Tena jifunge na ngata (Secretoo) Laalaalaalaalaaaaaeh
Chorus :
Katika katikaaeee katika katikaaeee katika katikaaeee katikaaeee ×2
Verse 2-(DIAMOND PLATNUMZ)
(Mbrrrooookeee Aaaiiirrruubudaaan,)
Yani katoto kandii, kako ndindindii... kamekazika yani ngingingii. Nyuma mbwii! kako mbwimbwimbwii...kana misifa shangingingii Nilikavizia kitamboo (aaaee) Leo kamenasa chamboo (aaaee) N'taakapakia na mgandoo (aaaee) Nikajegeje ka Ramboo(aaaee) BuuumbaaaiiiKana michezo ya ngomani sindimba lizombee.....Nami nampatia za pwani Muhogo wa jang'ombee.Yani ee e e eKana nikoshaga roh o o o...Huwaga nasimama de de de de...Kakitingisha wowo wo wo o..Ooh yaaa oooh nabembea... Yani siwezi kutembea... Nchecheme na chechemea yani hadi na legea aki

Verse 3-(AIKA)
Maumivu naugulia, mwiba ukizama nahisi mateso, Utamu na ng'ang'ania, ndizi kwa nyama napata mchecheto. Nakuna nazi kwa mkongojo (aaaee) Naunga mchuzi wa sotojo (aaaee) Uno la rosti rojorojo (aaaee) Mikunjo fulani Wabogojo (aaaee)Kibao kata tenteme teteme Kilingeni kuzama uchutame, huwezipata wee mpaka usimamee haichagui mwembamba mnenee.
Outro-(DIAMOND PLATNUMZ)
Nikalaze kwa bedi kitanda ee (Kwa ghettooo)Nikachezeshe Samba ee (Loketooo)Na kalivyo na bodi kinanda ee (Sepetu ooo)Tunguli zimenibamba ee (Mobettooo)Maaamaa
Chorus :
Katika katikaaeee katika katikaaeee katika katikaaeee ×2 ...
TAZAMA VIDEO & DOWNLOAD AUDIO & VIDEO HAPAChorus :
Katika katikaaeee katika katikaaeee katika katikaaeee ×2 ...
TAZAMA VIDEO YA MASHAIRI
EmoticonEmoticon